Wamiliki wa mabasi jipangeni ujio wa treni Dar to Moshi

Kwa wakati huu, muda utakaotumiwa na treni na ule unaotumiwa na mabasi hautatofautiana sana, siku hizi mabasi yanachukua mpaka saa 9 kufika Moshi, treni hii itakua na vituo vichache sana, na njia ya reli kwenda moshi ni fupi kuliko barabara, Treni itaweza kabisa kuondoka Dar saa moja jioni na kufika Moshi saa 12 asubuhi.

Hapo zamani wakati treni ilikua inakwenda moshi kulitokea ugonjwa wa kipindupindu na kusababisha vituo vingi kufungwa ikiwemo korogwe ambapo ilikua ina kaa kwa zaidi ya saa moja, wakati huo treni ilikua inafika dar saa 11 alfajiri kutoka Moshi, na moshi ilikua inaondoka saa 10
 
Ushawahi kuona shida ya usafiri inatokea safari ya kwenda hiyo mikoa uliyotaja? Hujaelewa mada vizuri.

Mwisho wa mwaka kuna shida ya usafiri sana mikoa ya kaz. Hiyo shida inatokana na uhitaji wa usafiri na wafanyabishara wa mabasi wanatumia nafasi hiyo kama fimbo kuwachapia wasafi kwa bei kubwa na hata hivyo mabasi hakuna zinaenda mpaka costa na nauli ikiwa 40k. Kilichomaanishwa wamiliki wajipange kwa sababu movement haitakuwa kama ya miaka iliyopita.
Zamani kulikuwa na treni lakini wasafiri walikua wachache

Hata kama hakutakuwa na njaa lakini hali haitafanana na kipindi kilichopita
 
2019,
Zitaanza lini?
Kwasababu hili tangazo nililiona kitambo sana...
 
Ajali popote ilo futa Izi Trent tumeona Cancellations ngap je muda utakuaje? wanaanzaga kwa mbwembwe sana ila haifiki mbali refer DART labda kama ni kwa msimu
Kusuko dede...treni ni salama na uhakika tofauti na basi achilia mbali kusafiri pia utatalii
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.

Hongera JPM!
Maendeleo hayana vyama!
Sasa wenzangu kina Meku Xmas hii hamasisheni JPM 2020!
 
kigogo amesema ni sawa na mtu kujisaidia sebuleni kisha akazoa kile kinyesi akaanza kujisifu,mbona usafiri wa treni ulikuwepo wakauua wenyewe?
Kila dhambi ina malipo yake, waliihujumu reli wakajineemesha sasa inarudi kuwalipa sawia na matendo yao
 
Kwani ni mara ya kwanza kwa treni kwenda njia hiyo na mabus yakiwemo? Kwanza Bus zinafika mapema unatoka Ubungo saa 12 asubuhi jioni saa 10 umefika. Treni unafika kesho yake hivyo kutakuwa na choice. Kingine tatizo la treni ni reliability, mara leo safari hakuna, mara reli mbovu etc
Sijamaanisha watakosa wateja ila wawe na mbinu za kushawishi abiri,maana upinzani tayari umekuja
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
 
Naweza je kukosa hii kitu
 
Nilipo muona mpolempole kwenye uzinduzi nikajua hapa hakuna kitu ni mbwembwe tu
 
Kwa nini Mr. Mbowe anaogopa ushindani ndani ya chama chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…