Kila mwaka naona kitu kimoja kinajirudia…
Watu wengi wanaingia msimu ukiwa umeanza tayari na hapo:
1. Wanakosa mapato ya mwanzo
2. Wanapata magari kwa bei ya juu
3. Au wanakosa kabisa units nzuri
Ukweli ni huu: anayewahi kujiandaa ndiye anayekusanya pesa nyingi.
Kuhusu magari, kuna misconception kubwa sana kuhusu “remanufactured buses”.
Wengi wanafikiri ni mtumba wa kawaida lakini sivyo.
Remanufactured ni gari ambalo linafanyiwa full refurbishment:
linafunguliwa upya, linafanyiwa marekebisho makubwa, na kurudishwa kwenye hali ya kazi yenye ubora mkubwa.
Kwa upande wetu wa mabasi ya
Yutong tunahakikisha:
✔️ Tunafunga engine mpya ya Cummins (imara kwa safari ndefu na matumizi ya mafuta yenye ufanisi)
✔️ Tunafunga gearbox mpya ya FAST
✔️ Interior inafanyiwa upya (comfort ya abiria + muonekano wa kisasa)
✔️ Mfumo mzima wa gari unakaguliwa kuhakikisha uko tayari kwa barabara zetu
Hii inakupa faida kubwa:
👉 Unapata performance ya juu karibu na gari jipya, lakini kwa gharama nafuu zaidi
Kwa sasa tunaagiza kwa order — lengo ni gari lifike kabla ya msimu wa July.
Mfumo wa malipo uko wazi:
- 30% advance ku-confirm order
- 35% baada ya kuona video & ukaguzi China
- 35% ukipokea
Nafasi za kuagiza mapema zinaanza kujaa kwani Bus hizi zinahadimika China na kama kawaida, wanaochelewa hujikuta msimu umeanza tayari.
Usiwe miongoni mwao chukua hatua mapema.
Tupigie kupitia +255622726182 kuweka order yako