Mafuta ya shock up ni hydrolic oil huwa wanajaza nenza sinza karibu na kanisa la KKT au mtafute jamaa yupo inster anaitwa Magoti fundi magari tz ,Nunua shockup babu! Nyie sindio wafia Nissan. Kuchwa kuponda watu wa Toyota.Sie pair ya shockup hazizidi laki bee (2) na hizo ni japan quality!
Ndo Mkome kununua magari kwa mkumbo na unafuu wa bei. NIliwahi kununua gari Nissan Xtrail (kupitia Zoom) 3.9m TZS mwaka 2019 lakini kumbe kopo. Mpaka leo limekula 9m ukarabati kila baada ya muda mfupi ikiwemo kubadilisha EngineNamiliki Nissan FUGA timing belt tu ilikatika ikanitoka 110,000
Ndo Mkome kununua magari kwa mkumbo na unafuu wa bei. NIliwahi kununua gari Nissan Xtrail (kupitia Zoom) 3.9m TZS mwaka 2019 lakini kumbe kopo. Mpaka leo limekula 9m ukarabati kila baada ya muda mfupi ikiwemo kubadilisha Engine
SUV kwa 11m[emoji849][emoji849]Daah. Maana natafuta gari ya juu Kwa bajeti ya 11m (gharama zote)
DuhSawa mkuu. Nasubiria ofa za BeFoward mwisho wa mwaka. SBT wana products za ovyo sana
[emoji1787][emoji28]Vitu vingine ni kutumia akili tu utanunuaje gari 3.9m halafu liwe zima.
yapo mbona GX100 na starlet....Vitu vingine ni kutumia akili tu utanunuaje gari 3.9m halafu liwe zima.
Umeshanunua vimeo vingapi mpk sasa kutoka be forward?Duh
Sbt ndo best car agent duniani kote, huyo befoward anauza vimeo sana
Kaadithiwa tu kwenye group za WhatsAppUmeshanunua vimeo vingapi mpk sasa kutoka be forward?
Mzee mwenzangu vipi!?Umeshanunua vimeo vingapi mpk sasa kutoka be forward?