MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kuna watu wanachanganya mambo mara Barclay kainunua NBC, BarclayAfrica hajawahi kuinunua NBC bali NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Africa.
Hawa ABSA ndio sasa wameinunua Barclay Africa.
Pia kuweka record sawa Barclay Africa ndio imeuzwa na sio Barclay International ile ya Uingereza.
Barclay waliamua kujiondoa kwenye soko la Africa kwa kuuza Barclay Africa kwa ABSA.
Ukienda nchi kama Misri au Moroco au Libya au Algeria usishangae kuwakuta Barclay.
North Africa wao wako Barclay Middle east and North Africa.
Pia kuna Barclay Asia na Barclay South America
Sent using Jamii Forums mobile app