Wadau hivi inakuwaje kama umekubaliana na mwenye nyumba kwamba nyumba haijakamilika ila ataikamilisha,ukalipia kodi ya mwaka mzima kwa hela ya nyumba iliyo kamili na asiikamilishe then,mwisho wa mwaka anataka kuleta mpangaji mwingine,Je kuna haki ya kudai fidia kwani nyumba haikukamilika kulingana na makubaliano au la?