Jipatie Siagi ya karanga
Senior Member
- Apr 20, 2024
- 106
- 287
OkTafuta hela brother kujitolea Bora uwe fundi simu
Sawa kakaKila kheri ktk maombi yako, ila ikishindikana nenda VETA.
Ni Bora wamewaajiri na kuwapanga ktk idara za elimu msingi kuliko kutowaajiri kabisa...ingekuwa worst wastage of resources.Niliwasikia Tamisemi wakisema walimu wote wa arts mlioajiriwa mwaka huu haijalishi degree ama diploma mnaenda kufundisha shule ya msingi
What a Wastage of resources!!
PoaaSawa kaka