Wamiliki wa vibanda vya kuonesha mpira wa miguu jijini Dar waitwa TFF

Hii itakuwa ni aina nyingine ya fursa. Leseni zitatolewa na watakamuliwa mpaka wakome. Kila mechi itakayopigwa watalazimika kuomba kibali na kulipia kibali cha matanagzo TFF
 
Kuna dalili ya kuanzishwa leseni ya vibanda
Ivi vibanda ndio vinafanya gharama za DSTV zisishuke, maana zinafanya watu wengi washindwe kumiliki DSTV na mwisho gharama kuwa juuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…