Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Wakuu wasalaam.
Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k.
Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze kuingia mtaani kujiongezea kipato.
Mungu akijaalia nina malengo ya kujiajiri kwa kuipanua biashara hii kwa kumiliki bodaboda kadhaa, bajaji, carry. Na huko baadae tena mambo yakienda vizuri kwa kudra za MWENYEZI MUNGU kumiliki vitu vikubwa zaidi kama magari ya abiria na mizigo.
Karibuni waungwana.