Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Shukrani boss. Karibu mkuu utoe neno, ushauri na mapendekezo.Safi sana kwa mapambano
Dah tunatifautiana kweli mie nipo sekta binafsi pia na muendesha pikipiki ila sio ya biashara ila moja ya biashara kichaa ni hii ya bodaboda ina risk nyingi sana kuanzia kupata driver anaejitambua ni kubahatisha maana wale vijana wengi wao vichwa maji achana na shurba za kukabwa mara hesabu sijui imefanyaje unaweza kumpa mkataba akakwambia chombo yenyewe imeibiwa
Unawezaje kuvimudu? Maan wamiliki au waliowahi kumikiki wanalia sana na vijana.I have 10 of the things kwa mkataba. Vinanipa uhai anyway
Inahitaji kuwa na nguvu sana na jamii ya waendesha boda boda na mamlaka za polisi na watoza ushuru. Moja ni kutimiza matwaka yote ya serikali bila kukwepa malipo yao lakini pia mimi wako sehemu moja na nimewaanzishia kitu kama Saccos ndogo wanakoweka hela yao ya kusaidiana.Unawezaje kuvimudu? Maan wamiliki au waliowahi kumikiki wanalia sana na vijana.
Inahitaji kuwa na nguvu sana na jamii ya waendesha boda boda na mamlaka za polisi na watoza ushuru. Moja ni kutimiza matwaka yote ya serikali bila kukwepa malipo yao lakini pia mimi wako sehemu moja na nimewaanzishia kitu kama Saccos ndogo wanakoweka hela yao ya kusaidiana. Kila mmoja ana leseni na kitambulisho cha Magufuli na ili nimnunulie pikipiki ni lazima atimize masharti yote na pia akubalike kwa wenzake aliowakuta. Nimehakikisha polisi wa kituo cha karibu wanaelewa umoja huu. Imesaidia kwa kweli na sijashuhudia matatizo kwa muda sasa. Lakini mwanzoni Ulikuwa shida sana.
Shukrani, binafsi nitawatafuta.Habari Wadau wa Jamii Forum,
Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.
Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.
Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.
Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.
Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.+255 754 711 783 Au unaweza angalia facebook yetu KITAU MOTOR GPS
Shukran, binafsi nitawatafuta.
Kma mtu yuko mkoani, huduma anaipata vip?
Sawa mkuu.Karibu sana
Uko Mkoa gani?
Kwa mikoani kuna taratibu tofauti kidogo.
Kama utafunga kwenye gari, Badala ya elfu 30 ya mwezi wa kwanza, wa mikoani wanalipia elfu 60 pamoja na gharama ya kutuma mikoani. Baada ya kifaa kufika na kufungwa kwenye gari, hawatolipia kwa miezi miwili inayofuata. Wanaanza lipia malipo ya mwezi ya elfu 15 baada ya miezi miwili. Picha ya chombo husika zitachukuliwa pamoja na picha ya kitambulisho cha muhusika.
Kama utafunga kwenye pikipiki, Badala ya elfu 20 ya mwezi wa kwanza, wa mikoani wanalipia elfu 50 pamoja na gharama ya kutuma mikoani. Baada ya kifaa kufika na kufungwa kwenye pikipiki , hawatolipia kwa miezi mitatu inayofuata. Wanaanza lipia malipo ya mwezi ya elfu 10 baada ya miezi mitatu.Picha ya chombo husika zitachukuliwa pamoja na picha ya kitambulisho cha muhusika.
Biashara ya bodaboda inalipa ila kwa mtizamo wako naona utapata changamoto hasa kwenye wateja maaana siku za hivi karibuni wateja wa kusubili kwenye vituo wapo wachache wengi hupanda bajaji kwa sababu zipo cheap kidogo labla ww uingie chaka sasa kwa part time af uingie chaka itakuwa changamoto.Wakuu wasalaam.
Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k.
Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze kuingia mtaani kujiongezea kipato.
Mungu akijaalia nina malengo ya kujiajiri kwa kuipanua biashara hii kwa kumiliki bodaboda kadhaa, bajaji, carry. Na huko baadae tena mambo yakienda vizuri kwa kudra za MWENYEZI MUNGU kumiliki vitu vikubwa zaidi kama magari ya abiria na mizigo.
Karibuni waungwana.
Ok boss, nashkuru kwa mawazo mazuri. Naahidi kulifanyia kazi. Je dogo akiibiwa pikipiki au hata kukimbia nayo kisheria itakuaje?Biashara ya bodaboda inalipa ila kwa mtizamo wako naona utapata changamoto hasa kwenye wateja maaana siku za hivi karibuni wateja wa kusubili kwenye vituo wapo wachache wengi hupanda bajaji kwa sababu zipo cheap kidogo labla ww uingie chaka sasa kwa part time af uingie chaka itakuwa changamoto
Ushauri wangu tafuta kijana mpe mkataba ambapo maeneo mengi analeta elfu 10 kwa siku 365 yaaan mwaka mzima yaan approx 3.65M per year na ww pikipiki unakua umenunua 2.2M apo kuna profit ukilinganisha na hiyo pesa ungeiacha benki na mikataba inabid iwe straight forward na wazamin wakueleweka mbona maisha yanasongo ukiwa nazo mbili tatu
Shukrani boss mkubwa.Karibu sana
Uko Mkoa gani?
Kwa mikoani kuna taratibu tofauti kidogo.
Kama utafunga kwenye gari, Badala ya elfu 30 ya mwezi wa kwanza, wa mikoani wanalipia elfu 60 pamoja na gharama ya kutuma mikoani. Baada ya kifaa kufika na kufungwa kwenye gari, hawatolipia kwa miezi miwili inayofuata. Wanaanza lipia malipo ya mwezi ya elfu 15 baada ya miezi miwili. Picha ya chombo husika zitachukuliwa pamoja na picha ya kitambulisho cha muhusika.
Kama utafunga kwenye pikipiki, Badala ya elfu 20 ya mwezi wa kwanza, wa mikoani wanalipia elfu 50 pamoja na gharama ya kutuma mikoani. Baada ya kifaa kufika na kufungwa kwenye pikipiki , hawatolipia kwa miezi mitatu inayofuata. Wanaanza lipia malipo ya mwezi ya elfu 10 baada ya miezi mitatu.Picha ya chombo husika zitachukuliwa pamoja na picha ya kitambulisho cha muhusika.
Ndo maaana ya kuwepo na wadhamini kwaiyo ikitokea kama amekimbia nayo utadili na hao wadhamin sasa akiibiwa hapo ndo pakutumia uwelewa wako kutokana na situationOk boss, nashkuru kwa mawazo mazuri. Naahidi kulifanyia kazi. Je dogo akiibiwa pikipiki au hata kukimbia nayo kisheria itakuaje?