Wamjua mpenzio yuko wap?

Rog3rz

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
44
Reaction score
26
Herufi ya mwanzo ya jina
la mpenzi wako na sifa zake A
B
C
wasumbufu na mara nyingi
wanakua watoto wa kishua D E
F
wa kawaida sana ila ni
wa siri wana mambo mengi
ila hauwezi kujua G
H I
micharuko wana ham na dunia
ila wanayajua mapenzi
utadhan walizaliwa kwa ajili hio
mara nyingi hawaachiki wao
ndio wanawaacha watu J
K
L
hapa unaweza ukabahatika
hawana matukio wala rekodi
mbaya ila tatizo lao n watu wa huruma sana hawajui kukataa
kiomba unapewa M
N
O
hawa nao kero wanajionaga
mastar sana na hawapendi kutumia majina yao ya asili mara nyingi
wanaedit name zao P
Q
R
hawa hawa sikiki sana
wakimya wataratibu ila mara nyingi hawana
mvuto wa sura au umbo S
T
U
hawa ni wachache sana dunian
ila wana kiburi kila kitu wanaona kama umewaonea wanapenda
kulipiza
kisasi akisikia kitu hata kama
hana
uhakika nacho atalipiza V
W X
hawa wanajionaga watu wa
njee
kabisa wanajifanyaga sio watoto
wa kibongo wana copy love
kwenye tamthilia habari za kulia
lia ndio zao Y
Z
hawa ni watoto wa uswaz
micharuko kila kigodoro wapo
kukesha kwenye club ndio zao ila hawanaga wapenzi parmanent
 
aaah,subiri watabiri waje mie hapa sipo kabisaaaa.
 
Ivi shehe yahaya kafufuka au?
 
Duuh sasa mimi ambao ninao wanacover all the alphabets, should say I m the luckiest or?
 
Kuna watu bado wanaamini haya mambo mpaka leo?? Mmh...
 
Umenikumbusha praimare.
Unaandika kina lako na la anaekutokea, una kata common letters and u get a number. Namba Inakupa fate yenu. Only if it was true!
 
Ngoja profesa maji marefu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…