Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Hizi ndo zile dk 89 alizosema Membe atafunga gori akitokea benchi?
ACT walifanya makosa makubwa sana kumkaribisha Membe ukisoma tu hiyo barua unaona kabisa kuna mkono wa CCM, msajili na Membe hao wanaolalamika wametumika tu
 
Dk ya 86 benchi kuna mtu kasimamishwa kwa ajili ya kuokoa jahazi....mpaka sasa bila bila
 
Kamati ndiyo iliamua kuiunga mkono CHADEMA na siyo mwanachama mmoja mmoja.
Hao waliomwandikia msajili siyo wanachama wa ACT ,Bali ni MaCCM yenyewe.

Hao wanaojiita ndiyo wameandika hiyo barua ,wametumika tu kwa kivuli Cha CCM.
Tafute mbinu nyingine,hiyo ni yakizamani sana.
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Ni wana CCM hao.
 
Yani humu ndio utajua kwanini Afrika tunapata viongozi wasio heshimu katiba na ni madikteta,
comments zinaonesha ni watu wasio heshimu katiba yani kwetu ni muhimu kufanya tu tunachoamini ni sahihi bila kujali katiba na tizama hao ambao wamejitokeza na kusema kuwa katiba imevunjwa tunaona wametumwa na hivyo wao ndio wafukuzwe chamani na huu ni udikteta.
 
Tokea kuanzishwa kwa hicho chama ni kwamba kimeanzishwa na Serikali ya CCM kwa maana ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani.

Hayo ni maneno ya Lissu mwenyewe, kwahiyo mtu kama mie sishangai huu mvurugano wa sasa maana Lissu alisema.
 
Dogo unataka demokrasia halafu unaunga mkono uhuni wa akina Zitto na Seif?
Membe sio mpinzani bali ni mzee muhuni toka CCM, kaenda ACT hana hata mwezi kapewa nafasi ya kugombea Urais. Kama ni demokrasia yeye hakustahili kuipata nafasi.
 
Yale Yale ya Pro, , LIPUMBA na Dokta MIHOGO, ya kununuliwa na MaCCM ili KUVURUGA na KUUA UPINZANI.
Yalianzaga hivi hivi kama mzaha.
Membe Mungu anakuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…