Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Ukistaajabu ya Mussa…..! Hawa wasaliti watapitisha wapi nyuso zao? Na huyo msajiri alaaniwe milele! Na MATAGA humu wanathubutu kutetea ujinga huu! Hivi hivyo vishilingi vikiisha baada ya uchaguzi mtafanya kazi gani? Au mmehakikishiwa kuendelea na kazi hadi uchaguzi ujao? Shame on you all!
 
Wakati ACT - W inazuiliwa kufanya siasa mlikuwepo?
 
Hiii ndo shida ya upinzani wa Tanzania.
KUJITIA UPOVU KWENYE MAMBO YANAYOWAHUSU..
Kama katiba ya Chama mmeishindwa mtaweza kweli ya nchi?
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
 
Barua toka kijijini Mtama hii....
 
ACT wazalendo walibugi step pale walipompokea mbobezi,
walitakiwa wajifunze kwa wazee wetu waliotikisa 2015.
kwa bahati mbaya hawakujifunza.
 

Hawa ni wenzake na patrol katawi. Maafisa vipenyo proper.

Mwaka huu ni tofauti sana tulioaga buriani kweli kweli ni wengi wa kutosha!
 
Turudi kwenye katiba ya ACT WAZALENDO INASEMAJE HAPO

Sawa Zito na maalim watavuliwa uanachama,

Na Membe hawez kuendesha Hiko chama cha ACT that's means chama kinakufa

Habari inaisha

Chama Hai cha upinzani kinabakia chadema tu
 
Lumumba hoi bin taabani mwaka huu mnalo
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Technically cha muhimu ni kujibu hoja za hawa wanachama.
 
Yaani wapinzani hatuamini kama mnaweza kufanya haya kutugawa dakika za mwisho....
 
Mbona mko wengi kama kuanzisha chama ni kitu chepesi nanyi si muanzishe chenu - mnaanza kuvaa viatu vya Lipumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…