Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Kumekucha. Usikute Benard Membe yupo nyuma ya huu mpango mkakati
 
... hiyo barua imeandikwa na Ofisi ya Msajili halafu wakaitwa; wakakutana Lumumba; wakawekwa sawa/lipwa; kisha wakasainishwa; halafu Msajili akaondoka nayo! In short hawajui wafanyalo.
 
Membe at Work....
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Je katiba imekiukwa au haikukiukwa?
 
MwanaKulitaka mwanakulipata💚💚💚💚💚
 
Wamechelewa sana maana muda kwishiney
Nani kakuambia muda kushney mwaka 2015 kuna kesi ilifunguliwa ya kutaka ufafanuzi wa umbali kwa wapiga kura baada ya kupiga kura.Tarehe zilikuwa kama za kesi hivi.Subiri zitto na Seif waondolewe kisheria.Uamuzi ni jumanne
 
Nani kakuambia muda kushney mwaka 2015 kuna kesi ilifunguliwa ya kutaka ufafanuzi wa umbali kwa wapiga kura baada ya kupiga kura.Tarehe zilikuwa kama za kesi hivi.Subiri zitto na Seif waondolewe kisheria.Uamuzi ni jumanne
Wote ni walewale team membe kifo cha mende
 
Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya ncho.
Kati ya kibaraka wa mabeberu na kichaa nani ana nafuu kidogo
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Mkuu mbona comment yako haijakaa ki demokrasia Kama unavyojinasibu kuipambania hapa kila siku

Unataka kusema kama hukuepo kwenye kukipigania kitu huna Ruhusa ya kutoa maoni kukosoa au kupinga

Hivi Mfano TANU (CCM) kumbe hawana haki ya kusumbuliwa kwasababu wao ndio walipigania nchi

Halafu Hao Jamaa mbona wamekuja na barua unayojieleza waki refer vifungu kadhaa vya Katiba yao

Kwa upande wangu ningeona ni better ungekuja na mapingamizi Yao kwa hoja za kikatiba.
 
Sawa, sasa, sasa, sasa hao wanachama wema wa act waitwe wahojiwe wakiweza tetea hoja zao na hivyo vifungu walivoorodhesha kikamilifu sawa na barua yao wapewe haki yao.ntakua wa kwanza kuwapongeza.
 
Wanaharakati wengi huwa hawana uvumilivu na hawayaishi wanayoyapigania. Mawazo mbadala kwao ni sumu na ukienda kinyume nao tegemea kuporomoshewa matusi au kuwa blocked. Ndiyo maana Afrika inapiga maktaimu miongo na miongo. Watu wanajinasibu kuwa ni wanaharakati wenye uchungu sana lakini wakiingia madarakani wanafanya yale yale ya hovyo...na hata hovyo zaidi! Afrika haya mambo bado sana; na kila mtu anapigania tumbo lake, familia yake na maswahiba wake tu!
 
Huyo Jamaa nimemshangaa sana na kila siku huwa Namuona sana hapa akiwa anatetea demokrasia Sasa Leo naona anapinga tena anayoyapigania

Nimegundua huyu sio mpenda demokrasia Ila ni mpenda Lissu na Maalim basi hana Kingine.

Halafu watu ambao wamepewa jukumu LA kutunga na kulinda Katiba yao ya chama chao wenyewe ndio unaona wanaipindua pindua jukwaani tu.

Huwa wanamcheka kitu gani Magufuli sasa
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Katiba aliitunga nani, kama inavunjwa na walioitunga,
Wacha iwachane chane,
wao hudhani kufuata katiba ni serikari tu ila wao sio.
Mtego watege wenyewe sasa umewanasa.
 
Wamechaguliwa wa imani mbili tofauti... Membe if you are behind this....Mungu anakuona...!!!
 
Hoja ya msingi ni"kuvunjwa kwa katiba ya ACT"
Maalim na Zito mpaka sasa si wanachama halali wa ACT hivyo waenguliwe kwenye uchaguzi kwakuwa wamekula ndoano waliyoitega wenyewe kwenye katiba yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…