wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa.

wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa.

R31

Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
12
Reaction score
2
lengo ni kuweza kujuana mapema ili tuchukue hatua kama kutafuta hostel,tukifaamiana mapema na tukiwa pamoja hostel itatusaidia sana kimasoma,kama interested na ni mwana BAF nitext kwa namba hii tufanye mipango 0778886787.
 
Mi ni miongoni mwa wanafunzi wa hapo mzumbe vilevile nimekosa hostel!nilikuwa nataka kujua vipi hakuna maeneo ya karibu ambayo mtu anaweza kupata chumba cha kupanga.kama kinapatikana tuwasiliane kupitia no 0764056006
 
Back
Top Bottom