baunsa nyoka
Member
- Apr 16, 2015
- 19
- 0
Mimi pia nina shida ya mkopo niliwatafuta ila nilishtuka mapema ni matapeli kwaio.nikaachana naoNdugu hao ni matapeli walisema wapo dodoma nikasema nielekeze office zao zilipo kwa sababu nipo dom wakanikatia simu nikapiga hawakupokea alafu kuna jamaa niliwasiliana nae wamemla laki 2 bila kumpa huo mkopo na wameblock
nashukur xnaTala
Brunch
Jaribu hao,