Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Miaka 60 ya uhuru Watanzania wanaishi kwa tabu na dhiki. Naongea kwa mambo ambayo nayaona kwa macho yangu. Iwe mjini au kijijini upatikanaji wa maji ni shida.
Ajira ni tatizo kubwa. Pesa haina thamani. Watu wanaishi kwa biashara za kubangaiza. Hakuna uchumi imara.
Alafu leo Chama tawala wanabakia kujadili masuala ya CHADEMA ambayoa ni minor ishu. Poor CCM.