Wana CCM hawa wanakichafua chama

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa.

Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana.

Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip.

Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?

Your browser is not able to display this video.
 
Normal with Abnormality anasema wamejifunzia Twitter.
 
Nilidhani mashabiki wa Yanga, kumbe sisiemu? Basi kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…