MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Baada ya kutazama hotuba ya kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe huko Marekani nimefurahi sana kwa jinsi alivyoonyesha uzalendo. Ikumbukwe Mbowe katoka familia ya mpigania uhuru wa nchi hii hayati Aikaeli Mbowe.
Ilikuwa ikishangaza sana kuona Mbowe akiwa kinyume kabisa na maono ya baba yake kuhusu Tanzania. Lakini kupitia kauli zake za hivi karibuni hakika Mbowe kakataa misimamo isiyofaa ya wanaCHADEMA wengi.
Natumaini chama changu CCM kitaendelea kumpa ushirikiano mheshimiwa Mbowe kwenye hii nia njema aliyoonyesha ya kuleta maridhiano na mshikamano kitaifa. Binafsi ninasapoti mema yote yaliyotamkwa na Mbowe.
Tanzania kwanza chama baadae. Ikiipendeza mamlaka ya uteuzi imteue Mbowe hata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE ili kujenga nchi kwa pamoja.