Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu.
Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu anatamani kula, ghafla bini vuuuu! akakuta chakula kile kizuri Dunia mzima kipo mezani.
kina msubili yeye I'li kiliwe na yeye, kwa kua hakujua utamu wa kile chakula, hakuwa na hamu nacho Wala kukishobokea chakula hicho kitamu sana duniani kote kila mtu angetamani akipate.
Jirani mmoja akamlazimisha aonje kile chakula japo hata kidogo, mkuu wa Giningi alikataa kata kata kuonja kile chakula kwa sbb mila na desturi za kwao, huwa haziruhusu kula chakula kile.
Basi pakatokea na baunsa mmoja mwenye milaba minne, katika jamii ile ya Ginning akamshika mkuu wa Giningi kwa nguvu na kunyooshea bastola lazima ule chakula hiki," alisema yule Baunsa mwenye milaba minne.
Mkuu wa Giningi alisita sita sana kula chakula kile, akihofia mila na desturi zao zingemfanya kitu kibaya sana.
Alipoanza kula , huku bastola ipo kichwani mwake, akiwa na wasi wasi mkubwa sana Juu ya mila na desturi zao, akajisemea moyoni "ubaya ubwela" kama mbwai na iwe mbwai"akachukua tonge moja na samaki mmoja, akala, alivyokula hakuamini kilichotokea ghafla yule mkuu wa Giningi akakipenda sana kile chakula, akaanza kula kwa haraka sana akajikuta anamaliza chakula chote mezani na hajashiba, anaomba aletewe chakula kiningine. Analetewa anamaliza ,anadai kingine, hivyo hivyo kila siku.
Akasau miiko, mila na desturi za jamii ya watu wake wa Giningi kwasbb ya utamu na uzuri wa chakula kile, mpaka leo nawasimulia kisa hiki cha hadithi yule mkuu wa Giningi anaendelea kula chakula kile ambacho mwanzoni alikataa, mpaka alipolazimishwa na Baunsa mmoja vivi wa malaba minne wa jamii ya Ginning.
Cha kushangaza ameanza kuwalisha unga wa ndele wanagining I'li wambunge mkono katika kuvunja mila na desturi za watu wa Giningi,
Mungu awasaidie wanaGiningi wale unga wa rutuba, I'li wafuate mila na desturi zao.
By mwinjilist wenu Gabeji.