Uchaguzi 2020 Wana CCM wawaombea kura CHADEMA kwenye familia zao

Uchaguzi 2020 Wana CCM wawaombea kura CHADEMA kwenye familia zao

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI.

Ugumu wa maisha uliopelekea kushindwa kusoma na baadhi yao kupata msukosuko kwa miaka mitano kwenye biashara, shambani na kazini kumeziumiza familia zao. Baada yakutafakari wengi wanaona ni vyema wasiende kupiga kura au wakienda Basi wapige kura kwa zimwi wasillolijua.

Hakuna ugumu wa maisha wa chama ila ugumu wa maisha niwawawananchi.

Usiposomesha leo kesho aliyetakiwa kusomeshwa hatakua na sifa, usipotibu leo kesho utobu, usipoishi kwa furaha Leo usitegemee kesho.

Ni wachache watakaokubali kuumia, ila pia hawajui usalama wao huko mbele
 
Safi sana ikiwa ujumbe wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu umeshakubalika na hawa wenzetu.

Maendeleo ya Watu Hayana Chama piga kura kwa yule anayeamini ktk watu na siyo city.
 
Back
Top Bottom