Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza marafiki zao na familia serikalini kwa mgongo wa CCM.
Ukiangalia faida zao binafsi ni kuwa na mawaziri watoto wao, ndugu na jamaa zao. Ukurugenzi na bodi mbalimbali. Hawajali madiliko yeyote ambayo hayawanufaishi wenyewe. Msinshangae kwenye uongozi kukuta majina ya Kikwete, Mwinyi, Samia, Pinda, Makamba, Lowassa, Nauye na wengineo ni utamaduni maalumu wa viongozi kuweka watu wao makusudi kwa faida yao na vizazi. vyao. Msishangae kuona wakwe, wake, na mashemaji mawaziri tena bila aibu.
Wana CCM wenye uzalendo nawashauri ungeni mkono mabadiliko ya katiba yenye tija. Vitu ambayo ni lazima muunge mkono ili tutoke hapa.
1. Katiba mpya hasa madiliko ya uundwaji wa serikali za mitaa, ukusanyaji wa kodi, mifumo yote , tume huru, ardhi na sheria zake, dual citizenship kwa watanzania diaspora, nguvu ya Raisi , sheria za rushwa, mahakama na kesi za kuchewa na rushwa.
2. Uwekezaji kwenye elimu na ajira ni lazima utokane na sera za uwekezaji na sio serikali pekee
Lakini kwa ujumla wake ushauri wangu acheni utamaduni wa uchawa wekeni uzalendo mbele