Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
Salamu nyingi wana jamvi. Mwaka 2015 wakati Dr Slaa anaondoka chadema, sisi wenye uwezo wa kuona mbali tulionya kwamba chadema imetema big g na kuchukua karanga za kuonjeshwa(Lowasa), Kama kawaida ya bavicha badala ya kujibiwa kwa hoja tukaishia kutukanwa. Ikumbukwe ndani ya ujenzi wa...www.jamiiforums.com
Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
Aibu imewajaa! Ushindi mzuri ni ule wa kumshinda mpinzani wako kwa haki! Ila siyo ule wa kubebwa! Maana hutengeneza aibu isiyo na kificho, usoni.
Unajisifia kuwa mwizi!!Aibu ya nini? Tumejipanga tumeshinda....nyie endeleeni kulia lia. Kwenye mashindano lazima ujipange
Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage...
Msitufundishe jinsi ya kusherehekea ushindi
Nilikuwa namwangalia kalamaganda hiyo jana wakati akihojiwa daaah wanatia huruma...Aibu imewajaa! Ushindi mzuri ni ule wa kumshinda mpinzani wako kwa haki! Ila siyo ule wa kubebwa! Maana hutengeneza aibu isiyo na kificho, usoni.
Na kweli wasiwafundishe, kama mmeamua kusherehekea kwa majonzi ni haki yenu kabisa.Msitufundishe jinsi ya kusherehekea ushindi
Sema akaolewe naeNa wewe nenda kaishi na dr slaa... Maana kila sehemu dr slaa ,dr slaa... Kama unampenda sana kaishi naye.