Hii nini sasa?Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Hivi kumbe Idugunde ndo Waitara? Kweli Una mawazo ya kilevilevi.Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Kama tuliomuokoa kwenye kazi ya kimpikia Chai Nchimbi tunawezaje kumchukia ?Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Unamaanisha kuwa kasambaratisha mchupa wa K- Vant ama ngome?Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Hahahahaaa ndio huyohuyo!!.Hivi kumbe Idugunde ndo Waitara? Kweli Una mawazo ya kilevilevi.
Kana ni K Vant sawa. Jamaa anasambaratisha hata chupa tatu kubwa. Aisee yupo vizuri!Unauliza jibu?
Mkataba alioingia na wanajijani umekwusha, akumbuke Ile maana ya malipo hapa hapa duniani.Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Mnunuzi wao mkuu nae amekula red card,ameamua jujiajiri kwenye katuition center kake baada ya shule yake kupigwa grader ๐คธ.Hakujua kuwa CCM ina wenyewe
Anazuga tu na katuition center jamaa ana mkwanja wa nguvu. Ile hela ya manunuzi haikuwa na marejesho pia anazopewa si anazowalipa wanunuliwa.Mnunuzi wao mkuu nae amekula red card,ameamua jujiajiri kwenye katuition center kake baada ya shule yake kupigwa grader ๐คธ.
Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya?
Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa kisiasa kabisa.
Hata jiwe aliingia kichwa kichwa hakujua ccm Ina wenyewe walikuwa wanamchora tu,check alivyoacha wajane kibao awaamini covid-19, waunga juhudi,chawa wa Magu, sukuma gang safarii ndio ishaisha hiyo.Hakujua kuwa CCM ina wenyewe