obhwita bhwandebha
Member
- May 16, 2020
- 41
- 59
Ndugu wanamabadiliko wenzangu mlioko ndani ya vikao vya maamuzi CHADEMA chonde chonde mnapoenda kwenye kwenye kura za kuteua mgombea wa urais tafadhalini kazi moja tu mlionayo fitina na figisu zenu ziwekeni pembeni tuleteeni mgombea ambae ni chaguo la wananchi na siyo chaguo lenu binafisi
Chaguo la wananchi si mwingine bali ni Tundu Antipasi Lissu. Huyu ndiye kete pekee anaekubalika na wananchi wote bila kujali vyama vyao kabila zao dini zao rika zao lakini pia ni mtu pekee mwenye uwezo wa kukabiliana na Magufuli. Nyalandu ni presidential material lakini hakubaliki na hana jina kwa wananchi kama mwamba Lissu
Mkijichangana mkaleta jina tofauti na hilo mjue chama chenu mtakuwa mmekipoteza mazima kwenye uwanja wa siasa. Pamoja na figisu za utitiri wa kesi za kubambikiwa alizonazo mwamba Lissu bado yeye ndo chaguo la wananchi na kwa uwezo wake na weledi alionao wa taaluma yake binafisi sioni kama kuna kesi ya kumsumbua hapo.
Na serikali kupitia tume ya uchaguzi wakijichanganya kuondoa jina lake hapo ndo utakuwa mwanzo wa mabadiliko tunayoyalilia siku zote. Hapo ndo tutajua nini maana ya nguvu ya umma.
Narudia kuwaomba wajumbe wa vikao vya uteuzi tuleteeni chaguo letu Lissu. Lissu ndo mpango mzima wa mungu ni zawadi yetu watanzania mungu ana makusudi makubwa na yeye tumruhusu atimize mapenzi yake kupitia mja wake.
Mara ya kwanza kutimiza mapenzi yake ni pale alipomnusuru na kifo baada ya kushindiriwa utitiri wa risasi za moto zaidi 32 huku nusu yake zikicharanga mwili wake bila mafanikio ya kumuua.
Mara hii mungu ameamua kutimiza mapenzi yake dhidi yake kwa kumfanya awe rais wa watanzania. Tafadhali msifanye makosa. Kila la kheri katika vikao vyenu macho na matumaini ya wapenda mabadiliko yako kwenu muwe na dominika njema.
Ndimi mpenda mabadiliko obhwitabhwandebha@gmail.com