Wana CHADEMA usiku huu kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

Hao wawili wenye vibaragashia wamepangwa ni wagalatia
 
Wanachama na viongozi wa CHADEMA usiku huu wakishiriki tukio la kumbukizi ya mwaka mmoja wa mauaji ya Oktoba 29, 2025, lililoandaliwa na Chama katika Makao Makuu ya CHADEMA, Edwin Mtei House.
View attachment 3704141View attachment 3704142
Asante Chadema kwa kumbukumbu hiyo yenye faraja kwa ndugu, jamaa, marafiki n.k waliouwawa katika mapambano ya haki na ukombozi wa nchi yetu.

Mwenyezi Mungu ni mwema, yeye huonesha njia pasipo na njia.
Tusikate tamaa kwa vitisho, mateso, mauaji n.k yanayofanywa na serikali haramu iliyojiweka madarakani sasa bali tuongeze juhudi, mapambano na uvumilivu ili tuikomboe nchi yetu nzuri.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…