Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

mmmh..... mwaJ vibaya ivo ujue

am waiting.......

Lah! Samahani Kaizer jana nilishindwa kurudi si unajua tena siku hizi gurudumu la maendeleo halisukumiki mpaka kwa mikiki? Maana kadri tunavyolipeleka mbele mafisadi nao wanalisukuma nyuma linabaki katikati.
Enh! Sema best, vipi ulimuuliza Asprin kwanini kaianika picha yetu JF bila ridhaa yetu?
 
Last edited by a moderator:
Asprin anatafuta umaarufu kupitia watu maarufu zaidi.

Orait mwaJ usjali. Huyu Asprin nikirudi vitani atatutambua kwa kuanika picha yetu yaani wananchi wanatuoneaje wivu? Nimepata tetesi japo upp busy kuna vijana kina BAGAH na Erickb52 wanakuzengea hapo job na kuhonga viazi vya futari. Nawapa onyo la mwisho.
 
Last edited by a moderator:

Usihofu Kaizer wewe pigana tu vita kulitetea taifa hawa kina BAGAH na Erickb52 wala hawanisumbui kichwa mie nawachora tu! Ila kiukweli futari nakula! Ha ha ha haaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Usihofu Kaizer wewe pigana tu vita kulitetea taifa hawa kina BAGAH na Erickb52 wala hawanisumbui kichwa mie nawachora tu! Ila kiukweli futari nakula! Ha ha ha haaaaaa!

mwaJ kauli mbiu ni kwamba unakula futari kwao (potelea mbali) ikisha kulala kwangu. Orait ? Usovunje moyo mpiganaji manake natetea taifa. Bila ivo hao masharo BAGAH nanmwenzie Erickb52 hawangetamba na babu Asprin asingejinoma
Nanwakeze cacico Yummy na BADILI TABIA. Sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
Usihofu Kaizer wewe pigana tu vita kulitetea taifa hawa kina BAGAH na Erickb52 wala hawanisumbui kichwa mie nawachora tu! Ila kiukweli futari nakula! Ha ha ha haaaaaa!

Unatuchora eeh?
kama vile unavojiachia juu yetu ni kutuchora basi sipati picha mpango mzima kabisa utakuweje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…