Wana Crypto tusikate tamaa mwaka 2023 ni wakutajirika

Wana Crypto tusikate tamaa mwaka 2023 ni wakutajirika

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,363
Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli.

Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri.

Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio wakati wa kununua na kutrade.

Wajanja watakaosoma huu uzi na kuutilia maanani watanikumbuka baada ya miezi minane kutoka leo.

Nunua hii Crypto inayotwa Luffy. Hata ukiweza kopa ama tafuta million moja 500usd uinunue halafu ukae usubiri kwaanzia mwezi wa sita hadi nane utaingiza nusu billion ama billion yenyewe.

Sasa hivi Luffy token price yake ni 0.00000000015. Hadi mwezi wa sita hadi nane mwaka huu kunauwezekano ikadrop one to two zero.

Sasa kwa mfano umewekeza au umenunua sasa hivi luffy ambapo iko chini kwa bei kwa dollar 500 just imagine ichanganye zero moja ikadrop tuseme ikabaki na zero nane kutoka tisa 0.0000000034 utaoata 12,500 USD na zero nyingine ikadrop utapata 126000 USD.

Mimi nimewekeza 2000 USD nakununua luffy Trillion 12 bei ya sasa.

Na uhakika mwaka huu nitapata 44k usd hadi 445000k usd kwa hii 2000 niliyotumia.

Luffy Token inapatikana gate.io

Be bullish and buy the dip and have patience before its too late you start regrating.
Screenshot_20230101-195259.jpg
 
Nunua hii Crypto inayotwa Luffy Inu. Hata ukiweza kopa ama tafuta million moja 500usd uinunue halafu ukae usubiri kwaanzia mwezi wa sita hadi nane utaingiza nusu billion ama billion yenyewe.

Sasa hivi Luffy token price yake ni 0.00000000015. Hadi mwezi wa sita hadi nane mwaka huu kunauwezekano ikadrop one to two zero.

Sasa kwa mfano umewekeza au umenunua sasa hivi luffy ambapo iko chini kwa bei kwa dollar 500 just imagine ichanganye zero moja ikadrop tuseme ikabaki na zero nane kutoka tisa 0.0000000034 utaoata 12,500 USD na zero nyingine ikadrop utapata 126000 USD.

Mimi nimewekeza 2000 USD nakununua luffy Trillion 12 bei ya sasa.

Na uhakika mwaka huu wa 44k usd hadi 445000k usd kwa hii 2000 niliyotumia.

Luffy Token inapatikana gate.io

Be bullish and buy the dip and have patience before its too late you start regrating.
Yaan ndugu umeshauri vizuri sana.Hapa Tanzania wahindi ndio wanapiga hiyo mikwanja mirefu.Lakin wabongo waoga sana.Na pia Kuna wapinga crypto.Watakujq kuelewa baada ya miaka 100.
 
Yaan ndugu umeshauri vizuri sana.Hapa Tanzania wahindi ndio wanapiga hiyo mikwanja mirefu.Lakin wabongo waoga sana.Na pia Kuna wapinga crypto.Watakujq kuelewa baada ya miaka 100.
Asante sana mkuu.
 
Hiyo Token Whitepaper yake ipo na purpose gani?
 
Hiyo Token Whitepaper yake ipo na purpose gani?
Luffy Token: The World’s First Anime Token to Expand the Anime Community in Crypto
Luffy is the world's first anime token, founded in August 2021. In April 2022, Luffy completed a multi-token merger successfully. The four tokens, Luffy (V1), Chopper, Goku, and Deku, are becoming Luffy (V2) with the mission of "Becoming the leader of meme and anime tokens."
Luffy is a community-driven token that was first built on the most secure and well-established blockchain, "The Ethereum Network," allowing investors and fans to stay decentralized. Due to the growth of the BNB Chain, Luffy Team has decided to develop the ETH/BNB Bridge, which is expected to launch in May 2022.
Luffy is building an entire ecosystem for investors and fans alike. Luffy is creating a safe and exciting space for investors and fans alike with modernized tooling, advanced DeFi platforms, education, P2E gaming, metaverse, and world-class artwork, as well as to help underpaid anime and manga artists.
  • Token Name: Luffy (LUFFY)
  • Contract Address: 0x7121d00b4fa18f13da6c2e30d19c04844e6afdc8
  • V1 Launch date: Aug 4th, 2021
  • V2 Launch date: April 19th, 2021
"Luffy has consistently delivered on each promise since its launch. Our goal is to establish a credible token with real-world utilities. Our dedication is unmatched. We will not relinquish our efforts and continuously update our roadmap as new innovations occur." - Luffy Team
According to an article published in Vox, the anime industry is worth tens of billions of dollars. Yet, most artists are left destitute and deprived, overworked and underpaid - many artists have ten years of experience. They are still only able to scrape by on $20,000 a year (a pittance in a civilized country like Japan).
Luffy would like to offer alternative ways in which artists who are not satisfied with the pre-existing system of industry pay in the anime industry are able to generate revenue and support themselves. One only has to look at Beepl's recent NFT 5000 Days to realize that the upside potential of producing NFT artworks can be extraordinary (that piece in particular sold for $69 million).
Luffy is currently listed on 20 Exchanges, with more than five exchanges coming soon. By the end of 2022, Luffy aims to be listed on Tier 1 exchanges. Luffy is just starting the marketing campaign by collaborating with Influencers, Celebrities, and other Blockchain Projects.
Here are some other articles that you may be interested in:
 
Pesa za cryptocurrency hazipo kwenye exchanges
Zipo kwenye projects company
Those people pays well
Nimezikula sanaa pesa zao

Trading ni last stage
IMG_20230101_225245.jpg
 
Hii ipoje mkuu naomba tuelekezane
Uyo ana deal na upwork kama unajuwa mambo ya crrpto and many more uko una omba kazi wanazotanganza, mi binafsi nachukuwa za wale wanaohitji wafanyiwe management ya funded acc zao
 
Mpaka sasa siwezi kuamini coin yoyote labda USDT,BNB na Bitcoin.
coin nyingi zimekuwa ponzi sasa kama za JATU na DESI.

tumia kufanya manunuzi sio hayo macoin ya ajabu
 
Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli.

Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri.

Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio wakati wa kununua na kutrade.

Wajanja watakaosoma huu uzi na kuutilia maanani watanikumbuka baada ya miezi minane kutoka leo.

Nunua hii Crypto inayotwa Luffy. Hata ukiweza kopa ama tafuta million moja 500usd uinunue halafu ukae usubiri kwaanzia mwezi wa sita hadi nane utaingiza nusu billion ama billion yenyewe.

Sasa hivi Luffy token price yake ni 0.00000000015. Hadi mwezi wa sita hadi nane mwaka huu kunauwezekano ikadrop one to two zero.

Sasa kwa mfano umewekeza au umenunua sasa hivi luffy ambapo iko chini kwa bei kwa dollar 500 just imagine ichanganye zero moja ikadrop tuseme ikabaki na zero nane kutoka tisa 0.0000000034 utaoata 12,500 USD na zero nyingine ikadrop utapata 126000 USD.

Mimi nimewekeza 2000 USD nakununua luffy Trillion 12 bei ya sasa.

Na uhakika mwaka huu nitapata 44k usd hadi 445000k usd kwa hii 2000 niliyotumia.

Luffy Token inapatikana gate.io

Be bullish and buy the dip and have patience before its too late you start regrating.View attachment 2466018
Do your own research!!!!!.
 
Back
Top Bottom