Wana Dar Young's wenzangu njooni tujadiliane maandalizi ya kutwaa kombe

Mziwandawamama

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
1,303
Reaction score
939
Kwanza kabisa kama wewe ni mkia soma na upite kimyakimya bila kuacha omo..
Pili,kwa nionavyo upepo kombe linabaki nyumbani kwao lilipopazoea so tupange mikakati ya kumpokea mwali sisi kama members wa jf ambao ni fans wa timu pendwa (Yanga)
Sio mbaya hata siku hiyo baada ya mechi ya ubingwa tukakutana sehemu kwa sisi wa dar tukajipongeza na kufahamiana au mnasemaje wadau?
 
Tuwakaribishe na mikia fc. Wasipokuja shauri yao
 
. Nifar mm Yangu tayari
 
Ni wazo zuri,subiri tumtafune Toto na turande mbao kwanza kisha tutajadili.
 
Mkuu Niffa tukiwa funga Toto hiyo nisherehe yenyewe, maana goal difference na simba ni 11, hawezi funga goal zote hizo kwa match moja iliyo baki
Sio kumi na moja tu na Toto atakula kichapo kwahiyo difference ni kubwa kwa mbumbu fc
 
Mkuu Niffa tukiwa funga Toto hiyo nisherehe yenyewe, maana goal difference na simba ni 11, hawezi funga goal zote hizo kwa match moja iliyo baki
Hahahaaaaaa kheri,asanteni kwa kuniondolea wasiwasi wakuu.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Sio kumi na moja tu na Toto atakula kichapo kwahiyo difference ni kubwa kwa mbumbu fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…