Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!!
Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili.
Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine ni dakta au litafutwejina jingine. tuwaachie matabibu jinalao na heshima yao wanayo stahili.