Wana haki ya kumtimua kocha, maana magoli yamefungwa kwa hisani ya GSM

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.

Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?

Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.

Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.

Hongera gsm.
 
Yanga wanaiona tarehe 18 kama usiku was deni...wanatamani Siku hii isifike...maana waliwaahidi makubwa mashabiki wao na siku zinakaribia...sasa baada ya sababu ya Morison kuonekana haina nguvu wanatafuta kisingizio cha kocha aliondoka...GSM wazee wa janja janja.
 
Uo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
 
hivi tuwe wazi kosa la yule kocha mzungu ni lipi?!
Nafikiri hakuwa chaguo la kwanza alikuja kwa dharura baada ya yule mburundi kuwa amezingua ikabidi atafutwe kocha kwa udharura bila vetting ya kutosha
 
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.

Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?

Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.

Hongera gsm.
Ushabiki wa aina hii unafanya wenye busara tuachane na mipira yenu ya kibongo. Hata katika nchi ya Zanzibar huwezi kukuta shabiki wa Malindi mwenye mawazo finyu kama haya dhidi ya Small Simba.
 
Uo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
Mwamnyeto alikung'utwa nane na Lamine alikula nne. Kwa (8+4)÷2=6. Haya ndio magoli watakayo achia tarehe 18. Kwa Simba hiyo ni porous wall au uchochoro. Sambusa zitapenyeza mara sita.
 
timu ni nzuri sana ila nadhani ka mbinu za mwalimu zimekuwa hazileti matumaini ya kuchukuwa ubingwa pia ukuta wa wana tanga ulionesha madhaifu mengi sana yani hapo ndipo napolia na walinzi wetu siku zote yani wanajisahau sana yani watu wanne dhidi ya mmoja na mtu anafunga dah.
 
kibaravumba huwaga nakusheshimu Sana mzee mwenzangu,Ila kuna baadhi ya maandiko yako yananipa ukakasi juu ya uwezo wako wa kuchanganua mambo,

Kwahiyo unataka uiaminishe umma kua GSM walinunua mechi kipindi cha pili?
Unaheshimu jitu gani hilo? Eti GSM wamenunua mechi? Haaaa!!
 
Mwamnyeto alikung'utwa nane na Lamine alikula nne. Kwa (8+4)÷2=6. Haya ndio magoli watakayo achia tarehe 18. Kwa Simba hiyo ni porous wall au uchochoro. Sambusa zitapenyeza mara sita.
kumbuka yanga mbovu ilishachomoa goli2 za yanga,ngoma ikaenda droo,yanga mbovu ikaipiga Simba kamoja,
 
Kibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.

Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?

Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.

Hongera gsm.
GSM Foam(Yanga) Vs. GSM coconut (Costal union).
 
Kocha aliyevunjiwa mkataba ni wa yanga cha ajabu wanaoumia ni simba, waache yanga ijiamulie mambo yao.
Kama jinsi ambavyo zile B20,huwa zinawatoa maneno yote ilhali haziwahusu kabisa.
 
Nyie wenyewe mnasema sisi hatuna kitu mbele yenu na hiyo tar 18 mnaaminisha umma mtatufanya vibaya sisi tunajaribu kufanya mabadiliko ya bench baada ya kuona coach haeleweki hasa namna ya uchezaji wa timu bado mnalalamika nyie.

Kama hamtakua na matatizo ya akili basi mtakua mnatumia bangi ya Colombia. Wewe unayejiona bora kuliko mwenzako subiri hiyo tar 18 uuoneshe ubora wako siyo kelele kama semaji lenu yaan wote akili sawa tu.
 
Back
Top Bottom