Wana haki ya kumtimua kocha, maana magoli yamefungwa kwa hisani ya GSM

Tarehe 18 ndio kidomodomo cha mbumbumbu fc kinakwenda kukoma kabisa katika msimu huu, kitakacho fuatia ni malalamiko tu.
 
hana kosa wachezaji viwango duni we jiulize wachezaji wa kigeni wa yanga walioitwa kwenye timu zao za taifa ni wangapi?
Mawazo kama haya ndo inasababisha watu wenye busara zao kuachana na soka la bongo na kubakia kuwa watazamaji na wapenda soka tu.
 
Nafikiri hakuwa chaguo la kwanza alikuja kwa dharura baada ya yule mburundi kuwa amezingua ikabidi atafutwe kocha kwa udharura bila vetting ya kutosha
kocha wa dharura ni huyu ama ni yule aliekupeni majina ambayo hamkuyapenda mkamtimua
 
Inaelekea una uzoefu wa mechi nje ya uwanja
 
Rudi shule ukasome namna ya kuandika vizuri kwanza Ebooo
 
Mtibwa si mlipaki basi baada ya goli
 
Mawazo kama haya ndo inasababisha watu wenye busara zao kuachana na soka la bongo na kubakia kuwa watazamaji na wapenda soka tu.
Unaaachana na soka la bongo unashabikia soka gani?
Calm down wambie utopolo walinunua wachezaji wa hovyo.
 
Tarehe 18 ndio kidomodomo cha mbumbumbu fc kinakwenda kukoma kabisa katika msimu huu, kitakacho fuatia ni malalamiko tu.
Kwa serikali ip? Ya JPM. Kwa TFF ip? Huu sio utawala wa mkwere JK na rafiki yake MALINZI. Zama zenu hz kuumizwa. Mtakerwa sn
 
Kweri kweri ❌❌❌😳😳😳😳😳 mkiambiwa elimu ni muhimu mnakuwa wabishi.

 
Kocha aliyevunjiwa mkataba ni wa yanga cha ajabu wanaoumia ni simba, waache yanga ijiamulie mambo yao.
Ni Kama vile kanjibai hajaweja 20 bil kwa [emoji881],wanopiga kelele, kulalamika ni fans wa[emoji196] wa jangwani.
 
Hapana.
Mechi ya Simba na Mtibwa Wawa hakucheza.
Walicheza Onyango na Kennedy.
Ukuta wa Onyango na Wawa ndio ukuta Zege.
Na ndio ukuta utakaoizuia Yanga kushindwa kupata hata goli la kufutia machozi tarehe 18.
 
Hakuna siku inawatesa Yanga kama tarehe 18 na wote wanaiogopa kuanzia wachezaji , viongozi mpaka mashabiki.Yaani tukiwafunga chini ya goli 4 watashangilia sana!
 
Wakumbuke kumlipa kocha walie mtimua pesa zake bila hivyo atawashitaki FIFA. Yule Zahera mpaka leo hajalipwa akidai pesa zake mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…