Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
After ww2,all German colonies,ziliwekwa chin ya trusteship teritory na TZ kukabidhiwa Kwa mwingeleza.chin ya legue of nations.
Hata sijui nijibu nini, ulimaanisha protectorate? Ndiyo!
After ww2,all German colonies,ziliwekwa chin ya trusteship teritory na TZ kukabidhiwa Kwa mwingeleza.chin ya legue of nations.
Jitahidi sana kusoma historia ya nchi yako,ili usilete maswali ya kukuumbua humu JF,please bring constructive ideas kama ni shule ungkuwa umepata big O
Trusteeship sio colony. Uingereza ilipewa trusteeship ya Tanganyika kama waangalizi tu mpaka wakati ambapo wangeweza kujitawala wenyewe. Tofauti ni kuwa Kenya ilikuwa colony ya Waingereza. Ndio maana waliwekeza sana wakijua kuwa hawataondoka. Waingereza hawakuwekeza Tanganyika kwa vile walijua kuwa ni lazima siku moja wataondoka.Ina maana hiyo trusteeship territory ni sawa na kuwa koloni au ?
Ina maana hiyo trusteeship territory ni sawa na kuwa koloni au ?