Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Ukisoma historia ya kabila za tanzania kabla ya uhuru , kabla ya ujio wakoloni, kabla ujio wa wamishonari unaambiwa kabila hili asili yake limetokea ukuu hapa inaonekana kabla hakujawa na nchi inaoitwa tanzania kipindi hicho kulikuwa poriiiiiii ila baada ya kipindi flani watu ndo walivyoanza kuishi ndipo historia ya makabila yalipoanza kwamba hawa walitokea sehemu flani.....
kwa wale wataalamu wa historia hebu tusaidiane kabila la kwanza kuanza kuishi katika arthi hiii kipindi hicho lilikuwa ni poriii
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa wale wataalamu wa historia hebu tusaidiane kabila la kwanza kuanza kuishi katika arthi hiii kipindi hicho lilikuwa ni poriii
Sent using Jamii Forums mobile app