Habari za usiku sana bodi
Nikiri nimekuwa nakutana na hawa jamaa sana either kazin au mtaani,ila sana sana kazin.
Wanakuja kwa gear ya mapenzi and all that ila baada ya muda wanaanza kukulilia njaa.
Mmoja alijitambulisha ila wengine wawil niliwahis tu. Ishu kubwa wana njaa sana.mtu ana kubom hadi hela ya lunch au chai,halfu daily.
Ni kwel ni wana idara ama mishen town tu
Kwan sidhan mwana idara inaweza kuwa mtu wa njaa njaa duh
Halafu wana kazi na mishahara kabisa ila ndo full udananda wa kina petit money
Au ndo vyuma kukaza?
Ni aibu sana kwa mwanaume ana elimu kazi nzuri afu anakuwa ombaomba kwa wanawake .