Hongera kwa hilo mkuu..kwa hiyo mimi natakiwa kulipa asilimia 10 iliyobaki pamoja na direct cost tu.Direct cost ni 250000,
nadhani itakuwa 90% hiyo cuz mie wamenipa 4172500 accounting, na ndio niliyoona ni kubwa ktk zote,
so hapo ada itakuwa 10% ya 1,500,000.
Hongera kwa hilo mkuu..kwa hiyo mimi natakiwa kulipa asilimia 10 iliyobaki pamoja na direct cost tu.
Vijana ulizeni vizuri na msome join instructions zao,mi nilisoma pale ilikuwa hata kama unamkopo 100% ni lazima kabla ya kuwa admitted ulipie 45% ya ada yao kutokana na pesa za bodi kuchelewa miaka kadhaa baada ya kumaliza wakaweka ni lazima ulipe 70% ya ada ndiyo unapata admission kwa hiyo ulizeni na miaka yote hiyo watu tulikuwa tunalipa vinginevyo hupati registration namba...
Vijana ulizeni vizuri na msome join instructions zao,mi nilisoma pale ilikuwa hata kama unamkopo 100% ni lazima kabla ya kuwa admitted ulipie 45% ya ada yao kutokana na pesa za bodi kuchelewa miaka kadhaa baada ya kumaliza wakaweka ni lazima ulipe 70% ya ada ndiyo unapata admission kwa hiyo ulizeni na miaka yote hiyo watu tulikuwa tunalipa vinginevyo hupati registration namba...
Ok!..co 70% ni 60%
emu tusaidie kidogo bro, hiyo % ya ada yote ama ile baki after mkopo? Na kama ya ada yote then mkwanja wangu watanirudishia after bodi wakiwa2mia?
Kwa IFM haijalishi unamkopo au hauna kila mwanafunzi lazima alipe hiyo pesa kisha itarudishwa bodi wakishapeleka ada chuoni!...Mkuu join nimeisoma vizuri wamesema atleast ulipe Tsh 1,050,000 ila hawajaelezea kuhusu kama unafadhiliwa na bodi mikopo ufanyaje...mkuu kama ni unafahamu nifafanulie hilo niko confused.
nina wasiwasi kidogo na IFM....kwnye joining instruction yao cjaona wakiizungumzia HESLB... cha msingi tuende na 1050000 kuwasikilizia kwanza na pia kama 400000 ya chumba na bado hela ya meals tukiwa tunasubiria BOOM....
na pia bado cjaelewa kama hela tulizopewa kuna field ndan yke coz pale field ni lazma uifanye 2 years...
hiyo laki moja unalipia kwaajiri ya supervisor kuna fedha yako ya kujikimu huko utakakokwenda kufanya field huwa bodi wanakupa kulingana na % yako ninadhani huwa inalingana na fedha ya kujikimu kwa kila siku ila hii huwa ya miezi miwili ya field work!...Mkuu field sisi ipo katika direct cost wametuandikia kwenye joining ni laki moja...au mimi nimeelewa vibaya!
hiyo laki moja unalipia kwaajiri ya supervisor kuna fedha yako ya kujikimu huko utakakokwenda kufanya field huwa bodi wanakupa kulingana na % yako ninadhani huwa inalingana na fedha ya kujikimu kwa kila siku ila hii huwa ya miezi miwili ya field work!...