chambwa zakayo
Member
- May 24, 2012
- 5
- 0
ni kwel,me ndy ckumwelewa vzur,kaniambia ni 60%ya kiac kinachobak 4rm ada unayolipiwa mkopo,na in4 zinapatikana chuo kiac cha kulipia.Inawezekana wamebadilisha lakini kipindi cha nyuma ilikuwa ni lazima ulipie hata kama unamkopo na IFM kila test wanatoa exams Id mpya kwa hiyo wale waliofikisha kiwango cha ada kwa huo muda ndiyo watakaolipa na hii ilifanyika hivi kwa sababu IFM kulikuwa na wanafunzi wengi sana wanaojilipia ada wao wasiotegemea mkopo.
Ilikuwa 380000 lakini kuzipata ni issue sana!...
kuna mmja aliniinbox kwenye acnt yangu tfaut na hii akaniulza swala la kupokea ada nusu huwa wanapokea bt n proces ndefu mpaka uandke barua na ujibiwe ndo ulpe na uklpa ada nusu kwa ifm huwez kuxajiliwa cz system inakubl kuxajl wote waliomalza ada 2
karibu!..sawa mkuu aksante 4 info
Chuka ada kwa mwaka,toa kiasi utakacholipiwa na bodi chukua 60% ya jibu ukalipe ada.Ada lazima iende sambamba na malipo ya kitambulisho, IFMSO.Hakuna sababu ya kulipa ada yote kwamba utarudishiwa na chuo.
Kwani UDSM Nafasi zilijaa? Au Kwalifikesheni duni?(Joking)