Afukuzwe haraka amfuate mumewe SimiyuMiongoni mwa Wadada na Wanawake ambao wapenda Demokrasia Tunasubiri Kwa hamu watimiliwe CHADEMA ni huyu Jesca Kishoa!
Ambaye amefanya CHADEMA Iramba kama KIKOBA !Kwa Unafiki ambao amekuwa akitufanyia na kutufanyia sisi punda wake!
Hakika kama Kuna kitu Cha Maana ambacho Baraza Kuu litafanya na kufukiza chawa hawa akiwamo Jesca Kishoa!
Mungu husimama na wenye Haki
Hakuna kiunzi hapo hao walishafukuzwa tangu 2020Acha nione CHADEMA watakivukaje hiki kiunzi
Afukuzwe haraka amfuate mumewe Simiyu
KabisaKabisaaa
Kamati kuu ilishamaliza kaziAcha nione CHADEMA watakivukaje hiki kiunzi
Yaelekea hata Jesca humjui, umejikuta tu unachangia UZI kwasababu tayari ulikua na majibu yako kichwani ya Chadema hata kabla ya UZI kutoka; Jesca Kishoa ni mke wa mkuu wa mkoa wa Simiyu....! Uwe una reflesh ubongo wako mara kwa mara, sio dhambi walaNyumba ndogo wa kiongozi anafukuzwaje? Matunzo ya watoto yatoke wapi? Hapo wamewekwa kimkakati. Ni Siri kubwa sana, ukiona nyani mjini ujue ana mwenyewe
Wakina mdee watasamehewa na hakuna kitu mtawafanya. Maagizo ya Rais lazima yatekelezwe.Hao covid 19 leo watimuliwe cdm isije fanya kosa la kuwasamehe dharau zao hazivumiliki hasa bwana yule mwenye sauti nzito ndiye aliwashauri wenzie vibaya waignore mandate ya chama kilichowapa umaarufu kwa miaka mingi
Huo Unafiki upo CCM tu rafikiWakina mdee watasamehewa na hakuna kitu mtawafanya. Maagizo ya Rais lazima yatekelezwe.
Ndg.Jesca Kishoa ni chawa wa nani ?!!!Miongoni mwa Wadada na Wanawake ambao wapenda Demokrasia Tunasubiri Kwa hamu watimiliwe CHADEMA ni huyu Jesca Kishoa.
Ambaye amefanya CHADEMA Iramba kama KIKOBA !Kwa Unafiki ambao amekuwa akitufanyia na kutufanyia sisi punda wake.
Hakika kama Kuna kitu Cha Maana ambacho Baraza Kuu litafanya na kufukiza chawa hawa akiwamo Jesca Kishoa.
Mungu husimama na wenye Haki.