T TONGINDI Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 174 Reaction score 32 Jan 5, 2012 #1 Ni muhimu sana
J jitegemee Member Joined Jun 10, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Jan 5, 2012 #2 kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia!
Nyamtala Kyono Senior Member Joined Sep 23, 2010 Posts 163 Reaction score 34 Jan 5, 2012 #3 jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... walianza kutumiwa lini hizo offer letter?
jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... walianza kutumiwa lini hizo offer letter?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jan 5, 2012 #4 unatafuta jina lako? kama hutafuti jina lako bsai utakuwa mdini/mkabila..sijamaanisha hivo lakini
T TONGINDI Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 174 Reaction score 32 Jan 6, 2012 Thread starter #5 jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! Usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... wewe umeishapata hiyo barua?
jitegemee said: kacheck posta, wametuma offef letter uko! Usikawie ndugu, kimbia! Click to expand... wewe umeishapata hiyo barua?
J jitegemee Member Joined Jun 10, 2011 Posts 25 Reaction score 0 Jan 6, 2012 #6 TONGINDI said: wewe umeishapata hiyo barua? Click to expand... Mi nimeikuta jumatano posta, ilikuwa inataka niende headquarter haraka iwezekanavyo nikipa hiyo barua, jana ndo nimeenda! Mambo fresh sana!
TONGINDI said: wewe umeishapata hiyo barua? Click to expand... Mi nimeikuta jumatano posta, ilikuwa inataka niende headquarter haraka iwezekanavyo nikipa hiyo barua, jana ndo nimeenda! Mambo fresh sana!
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Jan 6, 2012 #7 ​hongera mkuu jitegemee