Wana jamiiforum kwa nini mnapenda kunizeesha Demiss miye!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Ila jamani wanajf kwa nini mnaninyanyasa mtoto wa mwenzenu.
Eeeh mtoto mbichi miyee hata miaka 25 sijafikisha chuchu konzi mnaniambia mm mzeee looh hebu mniachee.

Kuanzia leo sitaki kuzeeshwa mimi ndo kwanza bado binti mbn mnanilazimisha mimi kucomment kama mbibi mambo gani ya kuzeshana jaman agrrrrrr

Alafu mambo ya kunionea wivu kisaa bado binti inatoka wapii jamani yan unakutana na mtu ananizaa yupo busy kumjadili Demiss katoto kadogo khaaaa hebu niacheni jaman.

Nyongeza:
Yote tisa wanajf hamjamiss kitumbua kitamu tamu kama changu?

Updates!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nyongeza ya pili:Sitaaacha kuringa kamwe na hivi nina kazi ya uhakika inanipa pesaa.

Location: Dar
.
 
Hata Wema Sepetu ana miaka 21 umemzidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inategemeana na ww unavojiweka.......na hoja zako unavozipangilia.......

Lakin demiss we mkubwa bhanaaa..........
 
wakuombe msamaha kabla mzee baba mganga hajawageuza vitoweo
 
Umesahau ile picha yako halisi na minido! Wewe upo kama 40 na kama ni chini ya hapo umetumika vibaya
 
Inategemeana na ww unavojiweka.......na hoja zako unavozipangilia.......

Lakin demiss we mkubwa bhanaaa..........
Jamani mm bado kabinti sitaki kuzeeshwa hata nimevumilia nimechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…