Mie sijawahi waza wewe ni mzee mdogo wanguu mzuriMm sitaki uzeee jaman dada
Jamani jamaniiHahhahahaha unaning'ong'a
Unanijua vizuri saaana... Mimi siwezi kabisaaa kukuwazia hayo... Nilikuambia jana na leo nakuambia ishi wewe kama wewe mdogo wanguu. Hakuna alokuleta humu. Hayo unayoyasikia hayajiandiki kwenye uso wako... Wala yasikuumize ni ya binadamu tuuJaman dada nitalia ujue
Hahahhahaha haya dada x mas wapi?Unanijua vizuri saaana... Mimi siwezi kabisaaa kukuwazia hayo... Nilikuambia jana na leo nakuambia ishi wewe kama wewe mdogo wanguu. Hakuna alokuleta humu. Hayo unayoyasikia hayajiandiki kwenye uso wako... Wala yasikuumize ni ya binadamu tuu
poa mkuu vip wwMambo vipi mdau...
We mtupoa mkuu vip ww
Mie nipo pa siku zote..Hahahhahaha haya dada x mas wapi?
Karibu sana jamani mdogo wanguuJaman nikaribishe basii maana likizo nazurula tu ovyoooo
Hasa ya CHUCHU KONZIWeka picha yako tuamini
KabisaHahahahha unautaka