Share experience yako,
- ni makosa gani mliyofanya ?
- kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ?
- Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ?
- Kuna watu waliochangia kwenye kuporomoka ?
- maamuzi gani magumu mlifanya baada ya kuporomoka ?
- maisha yenu ya sasa yanatofautianaje na enzi za mafanikio ?
- Ni watu gani waliosimama nanyi wakati wa shida ?
- kulikuwa na mabadiliko kwenye urafiki/uchumba/ndoa, n.k. ?
- somo gani kubwa mlilojifunza ?