Wana jamiiforums, natafuta kazi ya secretary ushirikiano wenu tafadhali

Wana jamiiforums, natafuta kazi ya secretary ushirikiano wenu tafadhali

kyannala nabiso

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
645
Reaction score
143
ninauzoefu usio pungua miaka minne na nina elimu ya Diploma natanguliza shukurani
 
ninauzoefu usio pungua miaka minne na nina elimu ya Diploma natanguliza shukurani
TANESCO Kibaha wametangaza nafasi ya Secretary to District Manager - Kisarawe, wahi faster uwasiliane nao upate details, deadline ni ijumaa wiki hii.
 
asante sana kaka, stationary hapana maana nimefanya hizo kazi sasa yatosha. na hapa nilipo ni stationary naingia saa mbili asubuhi natoka saa tano usiku au saa nne na nusu stationary hapana tena kama dhiki basi iyache inimalize
 
Back
Top Bottom