Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Wakuu unajua JF bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. JF inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
 
Kwa hiyo mkuu acha kututania basi ina maana kuanzia video mpaka utetezi alioutoa, bado uturudishe nyuma kuuliza kama ni yeye au si yeye? hebu pitia utetezi wake, Yule ni yeye na amethibithisha zaidi kwa kushindwa kuonesha ufeki wa ile video upo wapi amebaki anatapatapa tu.
 
SIO YEYE!
 
Nadhani hatufungamani na mambo kiimani bali hii ni platform huru kwa ajili ya mijadala mbalimbali, kupeana elimu na ufahamu.. Hatuna utaratibu wa kutoa maamuzi ama msimamo kwenye mambo yanayotokea kwenye jamii
 
Nadhani hatufungamani na mambo kiimani bali hii ni platform huru kwa ajili ya mijadala mbalimbali, kupeana elimu na ufahamu.. Hatuna utaratibu wa kutoa maamuzi ama msimamo kwenye mambo yanayotokea kwenye jamii
Swala kubwa sana hili..Ni lazima tuwe na msimamo kama kundi
 
wewe unasemaje? tuanzia hapo!
 
Bado fumbo sana ilankwa akili ya haraka haraka ukiangalia hata kama wakibaini ni yy hawqtasema bayana watalificha kapuni kilinda heshima ake na tutabaki kusema sio yy
 
wewe unasemaje? tuanzia hapo!
Mi Nimechanganyikiwa mkuu mwanzo nilikuwa njia panda..ila watu wakaja nikaambiwa ni yeye nikashawishika, ila kuna watu wakaja na hoja nzito kuwa sio yeye nikawaamini, nilipowaamini tena watu wengine tofauti wakaja na hoja nzito zaidi kuwa ni yeye kabisa, wakaja wengine tena wakaniamisha sio yeye tena, na wengine, na wengine na wengine...Dah, kichwa kinaniuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…