Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

ni ujinga kitaka msimamo kwa watu usiowajua.

utalazimisha hata gwajima kama yumo humu na wafuasi wake waweke msimamo wa kujipinga.

unalalamikia kitu ambacho sio sahihi.

Prof Matunduizi
 
Usihofu mku jf hatujalala kuna mtaalam wa video clips tumemuagizia kutoka UK anakuja kuifanyia uchunguzi kisha atatoa majibu
 
asa umesimama wapi mkuuu
 
Ni yeye
 
Nilivyoona kichwa cha uzi nikajua tumchangie zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa Max, inamaana katika mambo yoote yanayoendelea au tetesi zinazovuma kuhusu siasa, watu maarufu na matukio mengine, hili pekee ndio umeona lituunganishe JF tuwe na msimamo mmoja?

Acha watu wabaki na mitazamo yao na fikra huru jinsi wanavyochambua na kutazama mambo mkuu.
 
Ndio kuna mambo mengi yanaishia juu kwa juu, ila Hili limetikisa sana nchi..lazima conclusion ipatikane
 
kwani JF ni Mahakama au ni chama cha Mahakimu? mpaka iwe na msimamo wa kuhukumu huku ni mawazo huru anayesema ndiye au siye au asiyeelewa wote ni sawa............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…