Upo kwenye basi gani mrs mshana ?Second seat
[emoji51]Nyote mliowahi hizo siti na nyie nimewaweka kwenye hiyo list narudia nimewaweka.
Mie 20. Hahahaaa. Lol
We namba ngapi Kaka ake sababu watu tumejua kujiwaiya? [emoji85] [emoji85][emoji51]
Umejua kuwahi jamaani shoo.
Nakuomba usiwe unakaa siti za mbele.Second seat
Ndugu acha angalau nimeambulia 16[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umejua kuwahi jamaani shoo.
ha hahah haha yule ni mwehu ""...Mkuu,fanya kuwa-add Mambembe na Mzee Mchochezi (yule anayeumwa kidole na anahtaji kukiingiza kwenye papuchino ya mtu ili apone!
Ana itumikia jamhuri saa hiziKisandu pia ni mmoja wao.
first seat
Second seat
Third seat
Ninyi mlilelewa kuwahi siti ee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]