Wana jf bwana!

Wana jf bwana!

ANTA

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
66
Reaction score
7
Wakifika katika section ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Kila mtu........................

Mapenzi bwana!? Hii ndo africa.
 
Unausingizi nenda kalale wewe!
 
Wakifika katika section ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Kila mtu........................

Mapenzi bwana!? Hii ndo africa.

Derived from Afrit - Zomba
 
Ok ! Umeshakiri unapenda , haya sema funguka tukusaidieje ? Unajisikia kuzimua au ?
 
Hii ni field pana sana na inagusa almost kila mtu. Ukiona mtu hana Mahusiano na kiumbe mwenzie basi ujue ana kasoro za kibailojia. Sasa upana huu, pia huja na matatizo kadha wa kadhaa ambayo sisi ma-Greatthinker huwa tunayajadili humu ili kupunguza machungu ya maisha.

HP
 
tukutane siasa, nina mapweint ya kufa mtu leo.
 
Hii ni field pana sana na inagusa almost kila mtu. Ukiona mtu hana Mahusiano na kiumbe mwenzie basi ujue ana kasoro za kibailojia. Sasa upana huu, pia huja na matatizo kadha wa kadhaa ambayo sisi ma-Greatthinker huwa tunayajadili humu ili kupunguza machungu ya maisha.

HP

kama ni mtihani marks ni 95% - A.
 
Back
Top Bottom