Niko Msakuzi,ni msakuzi ipi hiyo ambayo viwanja vimepimwa? Je kwa Ipelanya? Je upande wa shule ya Msingi Makamba? au kule kwa Mkapa? au kwa Masister? Tusaidie ni Msakuzi ipi unayozungumzia?
This is a good information kwa wana JF, we would like to have such kind of information. That is why wahenga walisema na tunawasuuport kuwa "INFORMATION IS POWER"