Wana jf hamna harusii!!!!!!

chiko

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
590
Reaction score
271
Sabalkheir wangwana, ishafika tena ule mwezi wa mashamramra ya KUO au KUOLEWA. Nimeangalia hapa jamvini, nimengoja kualikwa lakini hamna!!, ama kila mtu ashafunga na kufungwa??????.

Mimi nikisoma Threads zingine humu, jamaa hawaja kamatana, ama jamaa ikifika wakati, anafanya kimya kimya , alafu arudi jamvini bila mwenziwe kujua?????????
 
Wewe umeoa/umeolewa??

Dena, twaweza kuzungumza kando...ahha..aahh, mwanaume wakiafrika ukimuuliza kama ameoa atakwambia bado, kumbe ana wake kibao!!!!!!!
 
Duh mkuu unapenda mnuso eeh!!!!
 
watu wanagonga tu bila ndoa siku hizi
 
Hatuna harusi wakati umesikia ROSE 1980 yupo honey moon!
 
Hatuna harusi wakati umesikia ROSE 1980 yupo honey moon!
Jamani! jamani tutaonana wabaya humu!!:boxing: aliyesema yupo honeymoon nani?? Ni simba gani anajaribu kuingilia kati??
 
Hatuna harusi wakati umesikia ROSE 1980 yupo honey moon!

Inawezekana!!!, Kapotea sana, na inkaa hilo njemba halimpi nafasi ya kuja jamvini!!!!!
 
Hatuna harusi wakati umesikia ROSE 1980 yupo honey moon!
mmmh aya bwana
naona mnajifungsha tu ndoa bila kunijuza ehh
ebu nijuze bwana nan nipo bnaae hny moon?
 
Inawezekana!!!, Kapotea sana, na inkaa hilo njemba halimpi nafasi ya kuja jamvini!!!!!

mmh jaman wewe mbona nipo baba?
sema tyt mbayaa kaka asi unajua tena katika kutafuta pesa ya kuwahonga akina mariooooooo akina teamo na finest....
apa naandikia nikiwa toilet manake ata kushka mawasiliano inakuwa tyt
cu n missng u badly
 
:A S-alert1::A S-alert1::behindsofa:
 
nitafutie mume kwanza hahah lol
halafu we utakuwa mstari wa mbele kwenye harusi yetu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…