wana jf haya ndo mambo ya face book!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Blue G

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
5,339
Reaction score
3,667
Jamani la mgambo,''binti wa sauti apotea katika mazingira ya kutatanisha,chanzo ni facebook.''kisa kilikuwa hivi binti alikuwa anachat na mkaka wa naijeria mpaka kufikia hatua ya kuwa wachumba, majuzi kati akamwomba sweet heart darlin aje tanzania kumvisit jamaa kakubali.

Wakafikia hoteli ya kifahari ,kuspend sana na shoping kwa wingi,jamaa akamtaka dada yetu waspend usiku pamoja,akakubaliwa,usiku umefika jamaa anavua nguo kaoza sehemu zote zilizofunikwa na nguo funza na mafunyefunye yanatoka binti kuzimia kuzinduka anakutana na mabilioni akajua umasikini kwaheri, kufika hosteli na kuwasimulia wenzake naye hapohapo akawa kama mpenziwe. Apelekwe hospitali akapotea.haya jamani mafunzo hayo kazi ni kwetu wana jf kusuka au kunyoa tuwe makini na mitandao yetu.
 
Evidence???????
 
Haya tueleze, hadithi hii alikusimulia nani?
 
kwa hlo jina lako inawezekana eti ukawa mwanaume wewe
 
Hongera kwa hadithi nzuri,nakushauri mtafute shigongo akupe page kwenye magazeti yake uendeleza kipaji chako cha utunzi.
 
Hongera kwa hadithi nzuri,nakushauri mtafute shigongo akupe page kwenye magazeti yake uendeleza kipaji chako cha utunzi.

ni vizuri kuchukulia kila kitu kama hadathi mpaka siku yatakapokukuta any way nilitaka tu kuwahababarisha .
 
Hongera kwa hadithi nzuri,nakushauri mtafute shigongo akupe page kwenye magazeti yake uendeleza kipaji chako cha utunzi.

naufanyia kazi ushauri wako,yawezekana kuna ukweli ndani ya ushauri wako.
 
Tusipuuze stori although huyu mtunzi alipaswakutupa na ushahidi.. lakini kiukweli mabinti wengi siku hizi wanaingia kwenye uhusiano bila kumjua vizuri huyo Mchumba/mpenzi tujihadhari na watu tusiowajua ni HATARI hasa wageni toka AFRICA MAGHARIBI (hususani Nigeria) na hapa jirani Kenya, hata Wazungu toka Ulaya na Marekani pia matapeli nao (baadhi yao)
 
Hasa wadada wanachuo jihadharini sana na marafiki msiowajua plz
 
Story Ina mafunzo na mazingatio ndani yake,ingawa imekaa Kama movie ya kinigeria vile.thanks kwa kukumbusha.
 
Hii story nilishawahi kuisikia but sijui kama kuna ukweli wowote!?!hakuna mwenye evidence..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…