Alwayz on top
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 706
- 268
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe najua baadae atakua shemej yenu msiwe na wivu...
opposite ya machache nini vilewe unamjua bwana machache wewe? una hela kama za kwake? au unaota mwenzetu?
yule alitolewa nchi za jirani na mh dkt bwana machache alipoenda huko baada ya kukosana na mke wake aliyetoka nje ya ndoa na daktari wa familia... baada ya kupata service nzur na kupunguza machungu akampromote mama yetu madamu..... kwa sasa bwana machache amesharudiana na mke wake saa sijui kama madamu ana mtu ila najua ana mtoto mwenye umri wa miaka kati ya 19-22
mengiiiiiiiopposite ya machache nini vile
swadakta..... lakin mi simomengiiiiiii
Utaishia kumaliza sabuni tu...
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe najua baadae atakua shemej yenu msiwe na wivu...
acha nipite huku nimefumba macho nisisikie mazungumzo yenu
Hivi yule Salama J bangi mtu anagongwa na nani? au mbele kaweka dushelele la plastic?
Salama hana tofauti na kongosho hajulikani ni mwanamke au mwanamme
Mkuu mbona una maneno makali hivyo kwa salama..? Ulipitia kwenye bss mchujo ukakutana nae nini..? Akakuwasha..?
Mkuu nitake radhi hiyo bss nina mwaka wa tatu sijaangalia
Zaidi ya kusimuliwa na vijana wangu tu kinachoendelea
Mkuu naomba uniwie radhi.. Nilidhani ni wa umri wa hawa vijana....